Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora atembelea TNBC

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu, Profesa Faustin Kamuzora
akieleza jambo kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara
Tanzania(TNBC) Mhandisi Raymond Mbilinyi( kulia) na watendaji wa Baraza
(hawapo pichani) alipofanya ziara ya kutembelea ofisi hizo kujionea namna ya utendaji kazi
wa Baraza hilo na majukumu yake.

Share this post

Comments are closed.