Prof. Elisante Ole Gabriel, Katibu Mkuu Viwanda, Biashara na Uwekezaji alipotembelea na kufanya Kikao cha pamoja kati ya TNBC na TPSF

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati),
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Mhandisi Raymond Mbilinyi kushoto pamoja na
Mr. Godfrey Simbeye Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) katika kikao ambacho Katibu Mkuu
alizungumza na Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) pamoja na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania kwa pamoja katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Tarehe 9/1/2018

Share this post

Comments are closed.