MKUTANO WA 11 WA TNBC IKULU – DAR ES SALAAM

Wakuu wa Taasis, Makatibu wakuu na Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara, wa pili kushoto ni Katibu Mtendaji wa TNBC Mha. Raymond Mbilinyi na wa tatu kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF Bw. Godfrey Simbeye. Mkutano uliitishwa na Mwenyekiti wa Baraza ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt John Pombe Magufuli

Share this post

Comments are closed.