MKUTANO WA 11 WA TNBC IKULU – DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa TNBC Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Mkutano wa 11. Kushoto ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kasim Majaliwa Majaliwa, Kulia ni Mh. Jenista Mhagama Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, wa pili kulia ni Dkt Reginald Mengi Mwenyekiti wa TPSF na wa pili kushoto ni Prof. Elisante Ole Gabriel Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.

Share this post

Comments are closed.