Waziri Mkuu Mh. Kasimu Majaliwa Majaliwa (Aliyeketi katikati) Akutana na Bodi Mpya ya TPSF Tarehe 27.10.2018

Picha ya Pamoja ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania pamoja na Wajumbe wapya wa Bodi ya Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania -TPSF. Waliosimama, wa tatu upande wa kulia kwa Mh. Waziri Mkuu ni Bi. Oliva Vegulla, Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara tarehe 27.10.2018

Share this post

Comments are closed.