Ziara Wilaya ya Kasulu Mkoa wa Kigoma

Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara Bi.Oliva Vegulla (wa kwanza kulia) akichangia jambo wakati wa kikao cha pamoja kati ya Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu (hayupo pichani), Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe.Kanali Simon Anange (hayupo pichani) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Wilaya hiyo walipotembelea kukagua utekelezaji wa Mradi wa Umwagiliaji wa Titye unaotekelezwa chini ya Local Investment Climate -LIC katika Wilaya hiyo

Share this post

Comments are closed.