Ziara Wilaya ya Kasulu Mkoa wa Kigoma

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu Prof.Faustin Kamuzora akuzungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara yake katika mradi wa Umwagiliaji wa Titye uliojengwa na Mradi wa Local Investment Climate -LIC Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoama Novemba 08, 2018

Share this post

Comments are closed.