Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John William Kijazi Azindua Vikundi Kazi leo tarehe 19/11/2018 Ikulu Jijini Dar es salaam

Katibu Mkuu Kiongozi ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya TNBC Barozi John William Kijazi kushoto akielekea kwenye uzinduzi wa Vikundi Kazi (Working Groups) leo tarehe 19/11/2018 akiwa pamoja na Salum Shamte Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi wa pili toka kushoto, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu Prof. Faustine Kamuzora na kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji wa TNBC Bi. Oliva Vegulla Uzinduzi huo umefanyika Ikulu Jijini Dar es salaam

Share this post

Comments are closed.