Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John William Kijazi Azindua Vikundi Kazi leo tarehe 19/11/2018 Ikulu Jijini Dar es salaam

Mwenyekiti wa TPSF Bw. Salum Shamte ambaye ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati Tendaji ya TNBC akizungumza juu ya Vikundi Kazi vilivoanzishwa wakati wa Uzinduzi wa Vikundi Kazi uliofanywa na Katibu Mkuu Kiongozi ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati Tendaji

Share this post

Comments are closed.